chief chineke
Member
- Feb 21, 2015
- 27
- 7
apumzike kwa amani tu kumbe alikua mzee sana hadi kikwete alikua hagusi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani tuwe tunaenda hosp kucheck afya zetu. BP na sukari inamaliza haraka. Tupunguze kula mafuta na kufanya mazoezi. Si laxima nje hata ndani kwako unaweza kufanya mazoezi. Tumia kiti kukaa na kusimama au tumia ukuta. Tujitahidi jamani.
Sijui mimi na wengine tujifunze nini kutokana na yaliyoandikwa humu kumhusu Marehemu John Komba.
Sio Shule ya msingi Saba saba?mwaka 1977 alikuwa mwalimu shule ya msingi Gangilonga mjini Iringa pia alikuwa akiongoza kikundi cha kwaya CCM ofisi ya mkoa wa Iringa
Nikajua unene wa asilia.
hyo miaka nilikua dogo sana sikumuona
ahahah mkuu mbavuuuu hukuuuu zinauma kwa kucheka
Kifo kinapotokea, tutapata nafasi ya kukumbuka kuwa kumbe nasi tuko hatua moja kutoka mauti. Poleni wafiwa.
Nimesoma na historian fupi ya marehemu, nashindwa kuamini kuwa Capt. Komba alizaliwa 1945-yaani ana miaka 70; kauli zake Bungeni haziwendani kabisa na mtu aliyezaliwa 1945, nadhani aliyetubandikia hiyo historian amekosea kidogo. Komba hawezi kuwa na miaka 70.
Vv
Huwa hatupendi kushabikia mauti wala kufurahia kifo cha mtu ila malipo ya kila kitu yapo hapa hapa duniani
Mshukuru Mungu kwa kila hatua na ukumbuke cheo ni dhamana usije kukitumia vibaya,
fikiria mzee warioba yupo hai ila kapten komba katangulia mbele za haki nways RIP kaptn komba sisi sote twaja
Usihukumu kabla ujahukumiwa ndugu.!!!.Ya Komba Mwachie Komba Mwenyewe kwa Mungu kila mtu atahukumiwa kwa matendo yake!.Mmmmmmh ila kwa Captain sijui ila dhambi yake ilikuwa ni moja inajirudiarudia.