TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

Rip j.komba....tutakukumbuka kila 14 th kwenye nyimbo za kumuenzi babu nyerere
 
poleni ccm kwa pigo la mwimba kwaya wenu
 
Jamani tuwe tunaenda hosp kucheck afya zetu. BP na sukari inamaliza haraka. Tupunguze kula mafuta na kufanya mazoezi. Si laxima nje hata ndani kwako unaweza kufanya mazoezi. Tumia kiti kukaa na kusimama au tumia ukuta. Tujitahidi jamani.

kweli aiseeee
 
Sijui mimi na wengine tujifunze nini kutokana na yaliyoandikwa humu kumhusu Marehemu John Komba.


1.Sema kweli siku zote
2.Acha kutanguliza maslai mbele aswa Unapo pewa nafasi ya kuwasemea watu ambao wengine unafaamu kabisa awawezi kujitetea
3.Waeshimu wakubwa zako na wenye expirience kukuzidi na hata wasio kuzidi
4.Wapende watu wote kwani binadamu wote ni sawa.
5. Usimdharau mtu kwasababu upo kwenye nafasi fulani
6. TENDA WEMA NENDA ZAKO ...

Atufaamu tutaondokaje lkn angalau tu play vizuri part zetu. RIP KOMBA.
 
Kumbe alikuwa amekula chumvi ya kutosha, 70 yrs? Hakuwa anaonekana wa umri huo?
 
mwaka 1977 alikuwa mwalimu shule ya msingi Gangilonga mjini Iringa pia alikuwa akiongoza kikundi cha kwaya CCM ofisi ya mkoa wa Iringa
Sio Shule ya msingi Saba saba?
 
Kifo kinapotokea, tutapata nafasi ya kukumbuka kuwa kumbe nasi tuko hatua moja kutoka mauti. Poleni wafiwa.

Nimesoma na historian fupi ya marehemu, nashindwa kuamini kuwa Capt. Komba alizaliwa 1945-yaani ana miaka 70; kauli zake Bungeni haziwendani kabisa na mtu aliyezaliwa 1945, nadhani aliyetubandikia hiyo historian amekosea kidogo. Komba hawezi kuwa na miaka 70.

Vv
 

Ana 70!!!! Na mbona alimwambiaga warioba kazeeka awaache vijana ambao ndo kama yy ndo wanajua katiba itakuaje!!!??? Makubwa!! ........basi vyeti vya kazi vitakua vinaonyesha umri tofauti.
 

wewe kweli umefikiria unayo andika? Nani ka kufundisha Kuwa kifo ni malipo Ya ubaya wa mtu? Is a matter of time kila mmoja ataondoka. Ungekuwa unasema hayo kama ungekuwa na insurance Ya kifo ila hata adui yako akikutangulia usije sherehekea ukidhani ni malipo Ya Yale mabaya you are completely wrong
 
Usihukumu kabla ujahukumiwa ndugu.!!!.Ya Komba Mwachie Komba Mwenyewe kwa Mungu kila mtu atahukumiwa kwa matendo yake!.Mmmmmmh ila kwa Captain sijui ila dhambi yake ilikuwa ni moja inajirudiarudia.
 
Usihukumu kabla ujahukumiwa ndugu.!!!.Ya Komba Mwachie Komba Mwenyewe kwa Mungu kila mtu atahukumiwa kwa matendo yake!.Mmmmmmh ila kwa Captain sijui ila dhambi yake ilikuwa ni moja inajirudiarudia.

poa mungu amtupe panapostahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…