TANZIA Captain John Komba afariki Dunia


Kweli mkuu, tatizo watu wengi hawajali au kutambua nini madhara ya kuwa na uzito uliopitiliza. Bado wana mentality kuwa ni prestige.. Tuna changamoto kubwa sana kuibadili jamii.

Na hii tabia ya kuendekeza pombe na nyama hususani red meat inabid tubadili. Kila kitu kifanywe kwa kiwango..
 
Nasikia jamaa alifikia hatua ya kutembea na masista(makasisi) wa kanisa katoliki ambao alipewa na parokia za Mbinga kama waalimu wenye weledi na taaluma ambao aliwaomba ili wafundishe kwenye shule yake ya Bakili Muluzi! Huyu Komba alijichumia laana!!
Pia kule Kimara kamjengea Lulu nyumba ambayo vijana wake wameapa kuirejesha hata ikibidi afe mtu!! Tutasikia mengi!!
 
Lowasa sijui kama atafanikiwa tena.. Chenge nae ndo kashapigwa pembeni.
 
R.I.P captain...imekuwa ghafla sana.
sijui hata campaign za ccm zitakuwaje mwaka huu without you.
 
polen wafiwa wotee na wanaccm kwa kumpoteza mwimbaji wenu hasa kwenye kipind cha uchaguzi anatoa support kubwa saana
 

Ndio shida yenu ccm akili kichwani hakuna.. Hiyo ya Mnyika ni mtu kaandika kwenye wall yake na wala si yeye aliyeandika.. Anyway hata akifa hakuna pengo aliloacha kwa watanzania zaidi ya kwenu maccm na team mamvi
 
tumia akili wewe,hilo sio andiko la Mnyika,limeandikwa na rafiki wa Mnyika kwenye wall yake.mf.baadhi up.pu unaandikwa humu anaandikwa na Max?
 
daah mh komba ametoa wimbo mpya wa kampen ni wimbo mzur sanaa kuusikiliza r.i.p komba
 

You rest in peace only if you worked to create the peace not only for your self but the entire human race, the rest will turn left right and centre in their graves!

Watakufa wote, those selfish ma ---- let them bite the dust just like the albino who died helpless and at huyo komba could gace done somethin significant as an mp.rest in peace all albinos, as for komba die away ......
 
sijui kama hawa vijana wake kawaachia kitu mali zake zote zilikuwa kama dhamana ya mkopo! Hivyo ni bora wakaanza kujishughulisha kwani dhuluma inabaki hapa hapa duniani! Hii iwe ni fundisho kwa watawala wanaotapanya mali na urithi wa taifa
 
kuanguka kwa kwaya master ni dalili kuwa kwaya nzima sasa itaanguka na nchi itatulia i.r.p. kama akifa fulan ghafla mjengoni pale nani ataimba
 
pole sana dada Lulu kwa msiba huu mzito kwako
 
Mungu hamfichi mnafiki. alisema ataingia msituni kuchakachua katiba ya wananchi, naomba azikwe msituni ili kuenzi kauli yake ya msituni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…