TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

bado miezi saba kufika october.
zanzibar 1
tanganyika 1.
znzbr ilikuwa ya kwanza kupoteza
kiungo wake.
leo tanganyika na wao
wamesawazisha kwa kumpoteza
kamanda wa msituni.
mechi bado inaendelea.
 
Kwa mujibu wa waliochangia huu uzi, waliohuzunishwa na kifo cha Komba hawafiki 10%.
 
Nasikia jamaa alifikia hatua ya kutembea na masista(makasisi) wa kanisa katoliki ambao alipewa na parokia za Mbinga kama waalimu wenye weledi na taaluma ambao aliwaomba ili wafundishe kwenye shule yake ya Bakili Muluzi! Huyu Komba alijichumia laana!!
Pia kule Kimara kamjengea Lulu nyumba ambayo vijana wake wameapa kuirejesha hata ikibidi afe mtu!! Tutasikia mengi!!

hao masista ilikuwaje wakamkubalia wakati wanajua ni dhambi?
 
Hata tunapaswa kujifunza kwamba, tusicheze na madeni ya bank.
 
Daaaa huyu ndio yule anaeipambaga ccm kwa nyimbo kama " wapinzani tuwalete tuwakumbatie tuwabusu?" jamani kama ni kweli dunia naichukia
 
daa jamaa ana sauti nzuri sana ya mapambio, nakumbuka alitungaga nyimbo za maombolezo ya nyerere siku chache kabla nyerere hajafa
 
atazikwa msituni

Ingawa amekufa ila aliwachefua sana watu mwaka jana kumtukana mzee warioba,binafsi nilichukia sana,alidhani ataishi milele,anatishia kwenda msituni,aende sasa.

Mungu amlaze jehanamu kabisa.
 
maskin lulu kila unapolalia
pana loa
by the way aman imepatikana coz msituni atuingii
tena
 
Akiwa Songea kwenye maadhimisho ya miaka 38 ya kuzaliwa CCM, rais Kikwete alisema "CCM siyo chama cha kisanii Komba na Diamond wanatosha" leo Ngoja hatunaye kabaki Diamond ataiweza mikiki mikiki ya kampeni?

na bado diomond kazi anayo
 
Hapana mkuu, Dawa ya wahalifu ni kukamatwa, kuhukumiwa na kufilisiwa ili watu waone, wajifunze na waogope. Huyo nyoka wa makengeza akifa na hela zetu watoto wake wataendelea kula bata na hela zetu.

Dawa nzuri ni kufikishwa mahakamani, kufungwa na kufilisiwa.

Vv

yaan mfano kesho mara paaaaa lidondoke lichatu la makengeza yan ningetafuta baa moja hapa manzese niifunge walala hoi wanywe bia za bure kusheherekea. madhulumati yote fahari yao ni hapa duniani tu lakni vifo vyao ni vya kidhalili kama cha komba.

mtatua na kutupasua vichwa sana kwa marungu ya polisi lakini na nyie siku zenu zipo nambadi kama sisi tu.
 
kitu kinacho nishangaza kwa nini ofisi ya waziri mkuu iingilie kat suala la mtu binafsi hongera mkurugenzi wa crdb kwa na maoyo wa kuchapa kazi wamezowea kula pesa kirahisi hivyo
 
ndo maana katiba aliiteyea kwa nguvu zake zote kwa kutegemea serekali kupitia ofisi ya waziri mkuu iipe madeni yake
 
Nayakumbuka maneno Haya hapa ya busara
kutoka kwa Mh cap komba,"Jaji Warioba na uzee
wake ameona anakaribia kufa akaamua kutuletea
Katiba mbovu kama hii ili kuivuruga nchi sasa
Nasema hivi ikipita Katiba hii mimi Naingia msituni
siwezi kukubali mwisho wa nukuu " sasa Mzee
Warioba kabaki yeye katangulia mwenyezi mungu
ailaze roho ya marehemu mahali pema
peponi —
 
Alisema warioba mzee anakaribia kufa anataka kutuharibia nchii.kuwa mzee haimaanishi ufe kwanza!! Rest in peace captain
 
Kama Wabunge wa Ccm wanafuatilia huu Uzi naamini watajifunza jambo. Maana wakiwa bungeni wanadhani wao wana akili kuliko watanzania wrote na kwamba was ahasi na Mungu ya kuishi milele kwa hila.Hakuna anae muombea mtu kifo lakini hebu on a watu hapa wanavyo furahia kifo cha huyu Komba aliye mtukana Mh Warioba na kutiahia ataingia msituni kama Chadema ikichukua nchi. Mungu in mkuu sana amemuwahisha msituni. Bado wwngine kama kina Lusinde na wenzake wa aina hiyo.
 
bado miezi saba kufika october.
zanzibar 1
tanganyika 1.
znzbr ilikuwa ya kwanza kupoteza
kiungo wake.
leo tanganyika na wao
wamesawazisha kwa kumpoteza
kamanda wa msituni.
mechi bado inaendelea.

na ndo dakika ya 45
kipindi cha pili bado
 
Hapana mkuu, Dawa ya wahalifu ni kukamatwa, kuhukumiwa na kufilisiwa ili watu waone, wajifunze na waogope. Huyo nyoka wa makengeza akifa na hela zetu watoto wake wataendelea kula bata na hela zetu.

Dawa nzuri ni kufikishwa mahakamani, kufungwa na kufilisiwa.

Vv
nakubali kabisa mkuu. huyu analindwa na mfumo dhalimu wa kisheria. na wezi wenzake hawadhubuti kumgusa kwani naye atawataja. but ipo siku....
 
Kifo kinapotokea, tutapata nafasi ya kukumbuka kuwa kumbe nasi tuko hatua moja kutoka mauti. Poleni wafiwa.

Nimesoma na historian fupi ya marehemu, nashindwa kuamini kuwa Capt. Komba alizaliwa 1945-yaani ana miaka 70; kauli zake Bungeni haziwendani kabisa na mtu aliyezaliwa 1945, nadhani aliyetubandikia hiyo historian amekosea kidogo. Komba hawezi kuwa na miaka 70.

Vv

Kweli mkuu...
 
Back
Top Bottom