TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

Marehemu kaondoka na PASSCODE ya bendi yetu ya kwaimba viongozi waliokufa. Sijui bendi itaendelea bila PASSCODE? Nawaza tu kwa sauti.
 
“Kwa hakika, sina maneno ya kutosha kuelezea kwa fasaha
hasara ambayo taifa letu na chama chetu kimepata kutokana na kifo cha Kepteni
Komba. Taifa letu limepoteza hazina kubwa na mtu
muhimu"

Kauli ya Raisi Kikwete juu ya kifo cha Komba.
 
Kama Watanzania Taifa la watu wenye UTU(humanity) tumefikia mahali hapa kufurahia kifo cha mtu na kushangilia basi ninasikitika sana KWELI ninasikitika sana, Marehemu Captain John Komba ni mwanadamu kama sisi na kama wanadamu wengine ana mazuri yake na mabaya yake ana mema na mapungufu siyo VEMA hata kidogo kumtukana Marehemu na kufurahia kifo chake! Hebu jiulize mwenyewe kama Captain Komba angekuwa mzazi wako au ndugu yako watu wakawa wanafurahia kifo chake ungejisikiaje? Kuingia msituni kupinga serikali tatu ni mtazamo wake maana anaona mapungufu ya serikali tatu na madhara yake na ninyi mnaopinga serikali mbili mna mitazamo yenu na mnaona mapungufu ya serikali mbili na madhara yake(hiyo ni mitazamo) na inatakiwa kupingana kwa hoja na tofauti zenu za mitazamo iwe ndiyo umoja wenu kama taifa la watu wenye utu na hoja siyo kutukana na kujengeana uadui, hakuna anayejua salio halisi la maisha yake! Komba amefariki but who's next? Labda mimi au wewe! Hivyo tuepuke kutoa majibu emotional maana si VEMA kwa kiongozi kuongozwa na hisia, wengi mmeonyesha hisia za chuki huku mkijinadi kama mbadala wa utawala uliopo I can tell you that the situation will worsen than now because you guys don't think like actual leaders! Act and live like a righteous leader even though you're not in the system, Nimesikitishwa sana na kifo cha ndugu yetu Captain John Komba alikuwa mwimbaji mzuri na mhamasishaji mzuri sana wa yale anayoyaamini, Mungu amrehemu na kumpumzisha, AMEN
 
Nimefuatilia misiba mingi iliyobebwa kishabiki na kisiasa lakini ukiangalia traces alizoacha John Komba specifically kwenye sanaa ni kubwa sana. Hebu fikiria toka nyimbo zs enzi zileeee mpaka mpaka wembe ni ule ule. Ni pekee aliyeiweka sanaa ya kwaya kwenye siasa kwa sasa. nani anasikikiliza kwaya za duniani leo? Ni wazi nyimbo zake husisimua sana. Yule bwana wa chadema muimbaji kwa kiasi kikubwa anamuiga Komba. Naamini wewe, ukiacha mapungufu yako utabaki kama msanii wa ukweli kabisa uliyewahi kutokea.Burian JDK
 
Kwa kwaya za kisiasa kwa kweli huyu ni gwiji.
Lakini zaidi atakumbukwa kwa kauli yake ya kuingia msituni iwapo katiba haitapita.
 
Nothing is the number when you die! Zitakazo baki ni story tu za kizushi na sifa za kinafiki
 
You rest in peace only if you worked to create the peace not only for your self but the entire human race, the rest will turn left right and centre in their graves!

Watakufa wote, those selfish ma ---- let them bite the dust just like the albino who died helpless and at huyo komba could gace done somethin significant as an mp.rest in peace all albinos, as for komba die away ......

Very sure!!!
 
kwakweli mungu anisamehe tu, ila liccm lolote likidenji huwa hainiumi hata nukta. nafikiri labda nina matatizo fulani sijui. hata huyu hajaniuma kabisa yaani.
 
Wengi wameondoka kwa mbwembwe na sifa za kinafki, nimetahadharisha kauli zake lakini specifically kwenye kwaya zake zenye nyimbo mahiri na ushawishi huyu bwana tutamkumbuka na nyimbo zake zitavuka vizazi hata pale ccm itakapoondoka. huyu ni legendry haina ubishi.
 
Ndio shida yenu ccm akili kichwani hakuna.. Hiyo ya Mnyika ni mtu kaandika kwenye wall yake na wala si yeye aliyeandika.. Anyway hata akifa hakuna pengo aliloacha kwa watanzania zaidi ya kwenu maccm na team mamvi

Hivi CDM inamsimamisha kamanda gani kwny jimbo la Mbinga mkuu?
 
Ndio shida yenu ccm akili kichwani hakuna.. Hiyo ya Mnyika ni mtu kaandika kwenye wall yake na wala si yeye aliyeandika.. Anyway hata akifa hakuna pengo aliloacha kwa watanzania zaidi ya kwenu maccm na team mamvi

safari ya kila mtu hiyo na njia ni moja tu.ngoja nawe zamu yako ifike halafu tuone ka kuna pengo utaloacha
 
Daaaa huyu ndio yule anaeipambaga ccm kwa nyimbo kama " wapinzani tuwalete tuwakumbatie tuwabusu?" jamani kama ni kweli dunia naichukia
Mkuu umechanganya kidogo hapo. Wapinzani wachanwechanwe na watupwe
 
Kama Watanzania Taifa la watu wenye UTU(humanity) tumefikia mahali hapa kufurahia kifo cha mtu na kushangilia basi ninasikitika sana KWELI ninasikitika sana, Marehemu Captain John Komba ni mwanadamu kama sisi na kama wanadamu wengine ana mazuri yake na mabaya yake ana mema na mapungufu siyo VEMA hata kidogo kumtukana Marehemu na kufurahia kifo chake! Hebu jiulize mwenyewe kama Captain Komba angekuwa mzazi wako au ndugu yako watu wakawa wanafurahia kifo chake ungejisikiaje? Kuingia msituni kupinga serikali tatu ni mtazamo wake maana anaona mapungufu ya serikali tatu na madhara yake na ninyi mnaopinga serikali mbili mna mitazamo yenu na mnaona mapungufu ya serikali mbili na madhara yake(hiyo ni mitazamo) na inatakiwa kupingana kwa hoja na tofauti zenu za mitazamo iwe ndiyo umoja wenu kama taifa la watu wenye utu na hoja siyo kutukana na kujengeana uadui, hakuna anayejua salio halisi la maisha yake! Komba amefariki but who's next? Labda mimi au wewe! Hivyo tuepuke kutoa majibu emotional maana si VEMA kwa kiongozi kuongozwa na hisia, wengi mmeonyesha hisia za chuki huku mkijinadi kama mbadala wa utawala uliopo I can tell you that the situation will worsen than now because you guys don't think like actual leaders! Act and live like a righteous leader even though you're not in the system, Nimesikitishwa sana na kifo cha ndugu yetu Captain John Komba alikuwa mwimbaji mzuri na mhamasishaji mzuri sana wa yale anayoyaamini, Mungu amrehemu na kumpumzisha, AMEN

Umejaribu kuweka hisia zako hapa ila ukweli uta baki kuwa ukweli. Kama angekuwa ndugu yangu hange weza kujisahau na kujitoa ufahamu na kumtukana kiongozi mkubwa na aliye na heshima kwa Taifa kama Mh Warioba. Alidhani yeye ndiye ataishi kuliko Warioba na kusema at I amezeeka na anakaribia kufa. Sasa Mungu amewafundisha maccm kwamba hakuna ajuae ni lini atakufa. Hili ni somo kwa Maccm waropokaji.
Watu wana Uhuru wa kutoa hisia zao japo kama positive au negative. Mjifunze kwamba matendo mnayofanya yanawaudhi watu.
 
Mtani wangu nilimshauri sanaa apunguze mbuzi katoliki bila mafanikio! Kaenda mtu wangu nitamtania nani mwee! Namlilia mtani wangu! Raha ya Milele Umuangazie eeh Bwana....
 
Dah mi namsikitikia sana Komba kilio cha wengi hiki Mungu hatumuamulii ila sauti ya wengi ni sauti ya? Badilikeni ccm apumzike popote Mwenyeenzi Mungu atakapompumzisha Amen
 
So sad, so sad. Sitamsahau kwa nyimbo alizomwimbia baba wa Taifa bila kuchoka na hakuwa na makuu, poleni failia na wanajmbo wake. May his soul rest in peace.
 
Binafsi nilikuwa sijaandika chochote juu ya kifo cha mh Komba.Kwanza taifa litamkubuka kwa umahiri wake katika utunzi na kuimba....kilikuwa kipaji cha aina yake....tunamshukuru Mungu kwa kipaji hicho. Upande wa pili lazima tuache unafiki ili tunaobaki tujifunze hasa watu wanaopewa dhamana ya kuongoza taifa hili....Kauli ambazo alizitoa Komba zilikuwa za ajabu mno....huwezi kusema Warioba amekaribia kufa alafu leo tukae kimya......angalia....kama si kauli zile za kihuni leo tungempa heshima zote......
 
Back
Top Bottom