The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Bashe nae ni mheshimiwa?
CCM kila mtu ni mheshimiwa. Hawa jamaa na jeuri yao wametuharibia sana nchi. Tukiwaachia sana hata kesho watoto wao nao watakuwa waheshimiwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bashe nae ni mheshimiwa?
Naona unajitahidi kumpromote!.Endelea,labda utafanikiwa.
Basically Bashe ni Mwanasiasa
Sote tunasikitika lakini Rais wa awamu ya tano atakuwa ameumia sana kwa kuondokewa na mtu muhimu sana katika safari yake. Kama mtakumbuka marehemu ni miongoni mwa wabunge waliotamka hadharani mara 50 kumuunga mkono.
R.I.P Mhe. Komba watanzania hawatakuangusha
Mwezi huu magazeti ya udaku yatauza sana
Hata kikwete wewe siunamwamini unaamini kila mtu uogopi ukimwi??Mungu akulinde Mh.Lowassa, Watanzania tulio wengi bado tunaamini wewe ndio tumaini letu lijalo!
Pia umesaha Mh marehem alikuwa anamtukana Mh warioba sana we unaona warioba Kama hata umia atafanyaje??
mbele yake,nyuma yetu,apumzike kwa amani
Nenda taratibu,hivi sasa bado tunaomboleza,hata kuzikwa tu bado,maneno chungu zima,Hoo! mara Komba kafanya hivi ,hoo! kafanya vile,haitatusaidia watanzania wenzangu,miaka hii bwana ni majanga tu ya kimaadili,miaka ya zamani mambo hayo ni mpaka siku ya kuanua matanga lakini sasa hivi ni balaa,yaan ukianza kukata Roho tu! magazeti yanaanza,sijui ni kukosa kazi au kukosa utu? tutumie muda huu kufariji wafiwa;wanafamilia na wana Nyasa kwa ujumla.
Na alaaniwe mtu ambae hawaheshimu wazee wake
Na alaaniwe mtu ambae anajiona yeye ni bora kuliko wananchi wote
Na alaaniwe mtu yeyote anaewaibia wanachi
Na alaaniwe mtu yeyote ambae 10M kwake ni ya mboga ya siku
Na alaaniwe anaechakachua katiba ya wananchi
Na alaaniwe mtu yeyote anaejiona atakaa madarakani /kutawala milele
Alisoma sec akiwa na 26(1945_1971) wanajamii iliwezekana?!
Kila mwanasiasa ni mheshimiwa na mwanasiasa ni nani?