TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

Sote tunasikitika lakini Rais wa awamu ya tano atakuwa ameumia sana kwa kuondokewa na mtu muhimu sana katika safari yake. Kama mtakumbuka marehemu ni miongoni mwa wabunge waliotamka hadharani mara 50 kumuunga mkono.
R.I.P Mhe. Komba watanzania hawatakuangusha
 
Kama kaacha hela yake kwa nini hayo yasifanyike? Miye nisha waambia watu wangu kuwa siku si nyingi ntalitengeneza langu likae tayari kwani nategemea kuzikwa na kitanda changu. Rambi rambi wanunulie kingine atakaye bakia.
 

Pia umesaha Mh marehem alikuwa anamtukana Mh warioba sana we unaona warioba Kama hata umia atafanyaje??
 
1. Kwani aliacha WOSIA huu KIMAANDISHI? ama Kisheria?
2. Ameacha FEDHA za kutekeleza tamanio lake?
3. So alitegemea KUTOFUKIWA?
4. Kama alijua kuwa ataenda MSTUNI, alitegemea kuzikwa kama alivyotamani?

Tangulia John. Tangulia bila kujali kuwa utazikwa kama ULIVYOTAMANI!
 
Lakini pia ukumbuke kuwa gharama zote zitatokana na kodi zetu!!
 
Pia umesaha Mh marehem alikuwa anamtukana Mh warioba sana we unaona warioba Kama hata umia atafanyaje??

Hahaaa hata yeye atakuwa ameumia chezea kifo wewe. vita ya mjengoni huwa inaishia mulemule kama unabisha muulize lissu
 

Jinga sana wewe....
 

Na iwe hivyo!!
 
Alisoma sec akiwa na 26(1945_1971) wanajamii iliwezekana?!
 
Iwe ni wazir mkuu aliyefukuzwa iwe ni aliyejiuzuru..hayo yote ni mapito.lowasa ndo rais qjaye wa nchi hii iwe kwa tiket ya ccm au upizani...mark ths post.
 
Kumbe mtu akihudhuria msiba napo ni habari ya kuanzishiwa uzi...nilikua sifahamu.Ndo naanza kuelewa sasa.!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…