TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

Kwani Kikwete si dhaifu !.

Apate laana kwani Warioba ni baba yake mzazi? Kama ni hivyo basi Mnyika ana laana ya JK kwa kumuita dhaifu.Tuacheni mambo ya kudhani kifo ni kifo.
 
Uliupima wapi udhaifu wake Ngongo
 
Last edited by a moderator:
Apate laana kwani Warioba ni baba yake mzazi? Kama ni hivyo basi Mnyika ana laana ya JK kwa kumuita dhaifu.Tuacheni mambo ya kudhani kifo ni kifo.

Mnyika alichosema ni ukweli na wala halina utata.
Ila kumsema mwenzako kuwa et anakaribia kufa! ni kosa kubwa sn hilo hapa duniani.
Et nitaingia msituni,hahahaaaa mtu mwenyewe yule! hata wakituingiza msitu mmoja na mie bila silaha yoyote ile masaa mawili hayaishi watamkuta yupo hoi kama c kufa.LAANA
 
Kwa kigezo cha umri hata vitabu vya dini vilitamka kuwa binadamu ataishi makumi 7.Warioba ana ngapi?
 
Sasa Mbona Yote Umeshayamaliza Mwenyewe Ktk Muntaza Wa Uzi Wako Je Unataka Sasa Sisi Tuseme Nini Tena? TUKUDANGANYE?
 
Wengine wanasema ni ugonjwa wa kisasa wa siku nyingi tu, mengine yote ni by the way!

Alisahau Kidonge ktk Mfuko Wa Shati Alilolivaa Jana Yake. Halafu Ukiwa Nao ( Wa Kisasa ) Na Ukiwa Na Masukari Na Mapresha Tiketi Yako Ya Kumuwahi Sir God Huwa Ipo Standby!
 
Apate laana kwani Warioba ni baba yake mzazi? Kama ni hivyo basi Mnyika ana laana ya JK kwa kumuita dhaifu.Tuacheni mambo ya kudhani kifo ni kifo.

wewe naye chenga kweli,kumuita mtu dhaifu ni laana.linganisha maneno aliyosema komba kwa jaji waryoba na maneno aliyosema mnyika kwa kikitwn nani aliya mkebehi mwingine?
 
Apate laana kwani Warioba ni baba yake mzazi? Kama ni hivyo basi Mnyika ana laana ya JK kwa kumuita dhaifu.Tuacheni mambo ya kudhani kifo ni kifo.

Wenye LAANA ya Warioba na Watanzania ni wengi akiwamo Ridhiwani ambaye Alisema kuna Wazee WANASUBIRI kufa wanataka katiba
 
Kwani alitegemewa kufa lini hata sasa watu wahangaike kutafuta kilichomwuam whatever reason itakuwanni kisababishi tu. Kwa kalenda ya Mungu muda wake wa kuishi hapo duniani ulikuwa ni huo. Biblia inasema siku za mtu za kuishi hapa duniani zimehesabiwa na Mungu mwenyewe na wala hakuna wa kuweza kuizuia siku yako ya kufa. Pressure, kisukari, majambazi etc ni visababishi. Jambo la maana ni kuhakikisha unakufa katika Bwana ili upumzike baada ya taabu nyingi vinginevyo unaweza kujikuta motoni milele na hakuna sala itakayokuondoa huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…