TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

Ha ha ha.. Ni hadithi nzuri lakini haina chembe ya ukweli.. Komba alikuwa anadaiwa karibia bilioni moja.. Kiinua mgongo chake kisingefika hata milioni 300.. Halafu kusema imeliwpa yote ibaki milioni 47 ndo imshinde..! Unawajua mafisadi huwajui wewe..? Si unasikia wanasema milioni 10 ni hela ya mboga tu.. Ina maana milioni 47 ni kama hela ya mchele tu kwa hiyo asingeweza kukosa..

A-RIP panapomstahil..
 
Kifo ni njia nzuri sana ya Kukwepa deni, kama kuna mtu anajiamini akufuate makaburini
 
CCM hawakumsaidia Komba kukomboa shule zake lakini wanamkombolea Dr Slaa jengo lake,
Kuna somo hapa kwa viherehere wa ccm
ndo ccm walivo aise,ila kwa sasa jambo jema tumuache marehemu apumzike kwa amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…