Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Una uhakika lakini mkuu?any way,DUNIA HADAA ULIMWENGU NI SHUJAA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
heeee kumbeee ndio maana wengine walikuwa wanaaga huku wanacheka mwee mwanangu kuwa uyaone.
thubutuKifo ni njia nzuri sana ya Kukwepa deni, kama kuna mtu anajiamini akufuate makaburini
ndo ccm walivo aise,ila kwa sasa jambo jema tumuache marehemu apumzike kwa amani.CCM hawakumsaidia Komba kukomboa shule zake lakini wanamkombolea Dr Slaa jengo lake,
Kuna somo hapa kwa viherehere wa ccm
Lady Jay dee aliwahi kutuambia Siku hazigandiDah... Yan mwaka umepita hivi hivi??? Ama kweli...