TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

BREAKING NEWS;

Mbunge wa jimbo la Nyasa Capt John Komba wa TOT amefariki Dunia ktk hospitali ya TMJ jioni ya leo.

MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI-AMIN



john%2Bkomba.jpg



Jen&Komba.JPG




Capt+John+Damian+Komba2.JPG









Kapt+Komba+1.JPG



IMG_0407.JPG
 
Habari zilizotufikia ivi punde ni kuwa muheshimiwa john komba amefariki dunia...
 
Usibitisho wa chama huu
 

Attachments

  • 1425134810548.jpg
    1425134810548.jpg
    74.8 KB · Views: 4,378
TANZIA:

Kwa Taarifa zilizothibitishwa na Katibu wa Mbunge wa Mbinga na Mjumbe wa
Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM aliyejitambulisha kwa jina la Gaspar Tumaini,

Kapteni John Damian Komba amefariki dunia katakaHospitali ya TMJ, Dar es Salaam leo saa kumi jioni.

R.I.P captain Komba, Mbele yako nyuma yetu
attachment.php
 
Account ya CCM twitter wameandika pia
 

Attachments

  • 1425134791625.jpg
    1425134791625.jpg
    56.1 KB · Views: 1,189
Wamesema amefariki saa kumi leo sababu ni kisukari Lulu anakuwa mjane mara ya pili

Huyu mzee alikuwa mtamu sana kumbe alikuwa na kisukari ndio maana mabinti walikuwa wanampenda hatareeeee
 
Jamani hizi habari mbona zinazagaa humu bila kithibitisho..
 
BREAKING NEWS;

Mbunge wa jimbo la Nyasa Capt John Komba wa TOT amefariki Dunia ktk hospitali ya TMJ jioni ya leo.

MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI-AMIN


UPDATES ZAIDI ZINAKUJA...

[TABLE="class: infobox vcard, width: 22"]
[TR]
[TH="class: n, colspan: 2, align: center"]Hon. Captain
John Komba
MP[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: #E6E6FA, colspan: 2, align: center"]Member of Parliament
for Mbinga West[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #E6E6FA, colspan: 2, align: center"]Incumbent[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2, align: center"]Assumed office
December 2005[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Preceded by[/TH]
[TD]Thadeus Luoga[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Majority[/TH]
[TD]18,969 (80.11%)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: #E6E6FA, colspan: 2, align: center"]Personal details[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH]Born[/TH]
[TD]18 March 1954 (age 60)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Nationality[/TH]
[TD]Tanzanian[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Political party[/TH]
[TD]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Spouse(s)[/TH]
[TD]Salome[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Children[/TH]
[TD]9[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Profession[/TH]
[TD]Teacher[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: #E6E6FA, colspan: 2, align: center"]Military service[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH]Allegiance[/TH]
[TD]
20px-Flag_of_Tanzania.svg.png
United Rep. of Tanzania[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Service/branch[/TH]
[TD]Tanzanian Army[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Years of service[/TH]
[TD]1978–1992[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Rank[/TH]
[TD]Captain[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
CAPT.JOHNDAMIANOKOMBAMBUNGEMBINGAMANG.CCM.TEL.07442845.jpg
 
Duh kweli dunian tunapita....tulip hai zamu zetu bado.....R.I.P Komba, nani atawatungia nyimbo Ccm?
 
Back
Top Bottom