TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

Pale aliposema warrioba ni mzimu unaosumbua watu kijijini
 
Ivi watanzania tunakuwa na akili gani? maana nijambo lakuhuzunisha kumpoteza kiongozi wetu nyie mnaanza kumkashifu nakuleta maneno yakijinga, ivi tunachomlaum nikwakipi? angejitokeza mwananchi wa mbinga analalamika kuwa mh komba alikuwa silolote kwao hapo sawa. Ebu fikilia watu wambinga wanajiskiaje kuona aliekuwa kiongozi wao mnamsema? ebu fikili angekuwa baba ako ungejiskiaje? nayule alikuwa sio kiongoz wa nchi bali nikiongozi wa jimbo. Jaman tusipende kumuhukumu mtu ivo mungu akutangulie baba yang komba
 
Komba aliimba nyimbo za kuomboleza za baba wa taifa ambazo ziligusa hisia za watanzania na ziliwafanya watanzania walie na kutoa machozi nikiwa mmoja wapo.
 
Natunga nyimbo ya maombolezo

Cpt John Komba kwaheri kwaheri
Makada tulikupenda sana
Wapinzani tulikuona nuksi
CCM kwishiney
Kwaheriii Komba
Ukalale sehemu stahiki
Lulu ohh Lulu ohhhhhhh
 
Ninamkumbuka John Komba miaka ya mwisho wa 70 na mapema 80 alikua mwalimu wa shule ya msingi Kana, Tanga mjini. Kipaji chake cha kuimba kiliipa shule ya Kana umaarufu wa hali ya juu kwenye kwaya. Nyimbo ninayokumbuka ni nchi yangu Tanzania. Maudhui yalikua; "nchi yenye watu wengi, siasa safi kwa wote na uongozi bora".
 
Natunga nyimbo ya maombolezo

Cpt John Komba kwaheri kwaheri
Makada tulikupenda sana
Wapinzani tulikuona nuksi
CCM kwishiney
Kwaheriii Komba
Ukalale sehemu stahiki
Lulu ohh Lulu ohhhhhhh

Komba hafai kuheshimika

Alilaghai wasichana masikini na wenye umri wa chini
alikua shabiki wa mambo dhalimu
alijilaani kwa ulaghai wa fedha
na kubwa zaidi adhabu zake zilianza kuonekana wazi
komba ameshindwa kuheshimu familia yake
Komba amekufa masikini kutokana na kukosa maarifa
 
wimbo wake wa sasa kumekucha chimwaga dodoma.utanifanya nimkumbuke daima dumu.....
 
Back
Top Bottom