Captain wa sasa wa Azam

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Posts
16,695
Reaction score
20,633
Wakuu habarini za mda huu.

Napenda kuuliza ni nini kilimfanya CAPTAIN wa Sasa wa AZAM kuchange jina?

Mwaka Jana alikuwa anaitwa SOMEBODY BRAYSON Kama sikosei saivi namuona anaitwa SOSPETER BAJANA

Upi ukweli juu ya huyu kiungo Fundi?

 
Captain msaidizi huyo, Captain mwenyewe ni Aggrey Morris akisaidiwa na Sure Boy ndio kisha huyo jamaa.

Sina hakika kwanini kabadili jina?
 
Na mimi nilitaka kuuliza, hivi katika mpira ni kuamua tu umeamkaje unaandika jina lolote katika jezi, hata A.K.A?

Naona wachezaje kadhaa wa ligi kuu mfano Hassan Dilunga kaandika HDJ katika jezi. Onyango naye msimu huu kaandika Achieng. Benard Morrison kaandika Efua Morris.

Wachezaji hawana majina ya kudumu?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Uko nje yama wengine wanatumia A.K.A. Zao uyo jamaa kachange jina kabisa
 
Mara nyingi huwa ni Matakwa ya Waganga wao wa Kienyeji hasa katika Suala zima la Nyota.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…