Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko nje yama wengine wanatumia A.K.A. Zao uyo jamaa kachange jina kabisaNa mimi nilitaka kuuliza, hivi katika mpira ni kuamua tu umeamkaje unaandika jina lolote katika jezi, hata A.K.A?
Naona wachezaje kadhaa wa ligi kuu mfano Hassan Dilunga kaandika HDJ katika jezi. Onyango naye msimu huu kaandika Achieng. Benard Morrison kaandika Efua Morris.
Wachezaji hawana majina ya kudumu?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mara nyingi huwa ni Matakwa ya Waganga wao wa Kienyeji hasa katika Suala zima la Nyota.Wakuu habarini za mda huu.
Napenda kuuliza ni nini kilimfanya CAPTAIN wa Sasa wa AZAM kuchange jina?
Mwaka Jana alikuwa anaitwa SOMEBODY BRAYSON Kama sikosei saivi namuona anaitwa SOSPETER BAJANA
Upi ukweli juu ya huyu kiungo Fundi?
View attachment 1993418