FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Sio ya kiwandani, ni zile wanaita Octopus wanazofunga hawa watu wa Music sound nk.Ni zile Alarm system ya kufungiwa ama ni ile ambayo imetoka kiwandani na gari?
Funga car track device achana na ujinga wa viraza wa SinzaSio ya kiwandani, ni zile wanaita Octopus wanazofunga hawa watu wa Music sound nk.
Ni ngumu, maana the exact fraction of a second gari moja inatoa mlio, na nyingine nayo inatoa mlio the very exact microsecond, instantaneous parallel responseNi zile Alarm system ya kufungiwa ama ni ile ambayo imetoka kiwandani na gari?
Nilikuwa na wasiwasi kuwa ndio izo izo za kuunganishiwa hapa hapa. Nafikiri izo huwa mara nyingi ni kama remote ya TV tu ufanyaji kazi wake. Zile za kiwandani funguo huwa zinakuwa coded, ili hizi za pweza badala ya kutumia coded key, itakuwa inatumia mionzi tu pekee direct.Sio ya kiwandani, ni zile wanaita Octopus wanazofunga hawa watu wa Music sound nk.
Kwa mchina kawaida tu Jombaa,Ilikuwa ni sehemu ya parking ya magari mengi sana, nilishangaa kila nikifumgua gari kwa remote , kuna gari nyingine kama mita 10 toka nilipo nayo ikawa inatoa mlio kama inafunguka, nikifunga kwa remote na yenyewe inatoa mlio kwamba inafunga sambamba na ile inayolengwa. Nikarudia hilo zoezi la kufunga na kufungua kama mara 10 ili kujiridhisha...
Ushaambiwa hizo alarm si za kuja na gari, legeza ubongo walau kidogoKawaida ya magari ya million kumi kumi ndiyo shida zake hizo..
njoo huku ndugu..View attachment 1549918
Hilo ndiyo tatizo la after market security features.Ilikuwa ni sehemu ya parking ya magari mengi sana, nilishangaa kila nikifumgua gari kwa remote , kuna gari nyingine kama mita 10 toka nilipo nayo ikawa inatoa mlio kama inafunguka, nikifunga kwa remote na yenyewe inatoa mlio kwamba inafunga sambamba na ile inayolengwa. Nikarudia hilo zoezi la kufunga na kufungua kama mara 10 ili kujiridhisha..
Na wafungaji wengi wa hizi alarms si professionals....ndiyo maana magari mengi ya watu yanawaka moto hovyo na kuteketea.
Kuna documentary moja nilikuwa naangalia namna ya ufungaji wa hizo security alarms, kwa kweli hapa bongo watu wengi wanaunga unga tu bora ilie.
Nikikumbuka jina la ile site nitashare link hapa..
Kawaida ya magari ya million kumi kumi ndiyo shida zake hizo..
njoo huku ndugu..
View attachment 1549918
Kwa Car Security nzuri wafuate Multi lock Tanzania wapo mkabala na Maktaba.Wana security alarm system za magari.
Hawa zamani walikuwa na lock ya kufunga kwenye gear level na milango hii mpaka mwizi aibe basi itambidi abebe gari kwa breakdown au winch.
hi ni ZXKawaida ya magari ya million kumi kumi ndiyo shida zake hizo..
njoo huku ndugu..
View attachment 1549918