Car alarm systems si salama sana, kuna siku nilikua nafungua gari kwa remote, gari nyingine nayo ikafunguka

Car alarm systems si salama sana, kuna siku nilikua nafungua gari kwa remote, gari nyingine nayo ikafunguka

Na wafungaji wengi wa hizi alarms si professionals....ndiyo maana magari mengi ya watu yanawaka moto hovyo na kuteketea.

Kuna documentary moja nilikuwa naangalia namna ya ufungaji wa hizo security alarms, kwa kweli hapa bongo watu wengi wanaunga unga tu bora ilie.

Nikikumbuka jina la ile site nitashare link hapa..
Nakukumbushia link ya hiyo site mkuu
 
Kwa Car Security nzuri wafuate Multi lock Tanzania wapo mkabala na Maktaba.Wana security alarm system za magari.

Hawa zamani walikuwa na lock ya kufunga kwenye gear level na milango hii mpaka mwizi aibe basi itambidi abebe gari kwa breakdown au winch.
Hadi leo wapo?
Na gharama zao sh ngapi.?
 
Back
Top Bottom