Na wafungaji wengi wa hizi alarms si professionals....ndiyo maana magari mengi ya watu yanawaka moto hovyo na kuteketea.
Kuna documentary moja nilikuwa naangalia namna ya ufungaji wa hizo security alarms, kwa kweli hapa bongo watu wengi wanaunga unga tu bora ilie.
Nikikumbuka jina la ile site nitashare link hapa..