Sio kwamba hapo ndo aliposema kaikosa, au me ndo sijamuelewa.1. Fungua glove box.
2. Ipamchue itoe kabisa iyo droo.
3. Ipo kwa hapo nyuma ya glove box. Ukishaitoa glove box droo ndio unaiingiza air filter ikiwa imesimama (vertically,)
Sijajua kama kasema.Sio kwamba hapo ndo aliposema kaikosa, au me ndo sijamuelewa.
MwakaNipo Mwanza mkuu
Trust me. Ipo hapo.Hapo kweli nimeikosa
Cheki dmNataman ungekuwepo nikuletee uangalie na ww mkuu
Nitajaribu hii, shukranKwa Msaada Picha: FUATISHA STEPS HIZI
Sijaingiza chasis namba Boss ila kuhusu mfumo wa hewa kwa buti hapo ndio umeniacha kabisaUmejaribu kuingiza chassis number kwenye mtandao kuulizia hiyo filter ipo sehemu gani?
Je gari yako ilikuwa na mfumo wa kutoa hewa au kuingiza kwa buti ya nyuma kama baadhi ya corona za miaka hiyo na yako?.
Wanaita air purifier kitu kama hicho nadhaniSijaingiza chasis namba Boss ila kuhusu mfumo wa hewa kwa buti hapo ndio umeniacha kabisa