Car cabin air filter

Car cabin air filter

Decibel

Senior Member
Joined
Nov 30, 2019
Posts
172
Reaction score
316
Habarini wakuu,

Moja kwa moja niende kwenye mada, nina gari Carina Ti My Road. Hii gari ni mwaka wa 5 huu ninayo sasa changamoto kuipata hiyo Cabin filter ya ac ili tupulize vumbi au kuibadilisha kabisa,tumetafuta sana na mafundi ac lakin hatujaipata. Kwa kifupi haijulikani ipo wapi.

Leo nimeona nililete hili huku Jf kwa yeyote anaefaham mahali inapokaa anisaidie tafadhar. Kwa magari mengine ipo kwenye droo ya siti ya abiria lakin kwa hii gari pale haipo.

Karibuni kwa msaada wenu tafadhali.
 
1. Fungua glove box.
2. Ipamchue itoe kabisa iyo droo.
3. Ipo kwa hapo nyuma ya glove box. Ukishaitoa glove box droo ndio unaiingiza air filter ikiwa imesimama (vertically,)
 
Upo mkoa gani?
Ingia YouTube watakuonesha mpka namna ya kuitoa!
 
1. Fungua glove box.
2. Ipamchue itoe kabisa iyo droo.
3. Ipo kwa hapo nyuma ya glove box. Ukishaitoa glove box droo ndio unaiingiza air filter ikiwa imesimama (vertically,)
Sio kwamba hapo ndo aliposema kaikosa, au me ndo sijamuelewa.
 
1. Fungua glove box.
2. Ipamchue itoe kabisa iyo droo.
3. Ipo kwa hapo nyuma ya glove box. Ukishaitoa glove box droo ndio unaiingiza air filter ikiwa imesimama (vertically,)
Shukran mkuu
 
Umejaribu kuingiza chassis number kwenye mtandao kuulizia hiyo filter ipo sehemu gani?

Je gari yako ilikuwa na mfumo wa kutoa hewa au kuingiza kwa buti ya nyuma kama baadhi ya corona za miaka hiyo na yako?.
 
Sijaingiza chasis namba Boss ila kuhusu mfumo wa hewa kwa buti hapo ndio umeniacha kabisa
 
Back
Top Bottom