Andres
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 502
- 815
Wakuu naulizia vile vifaa vya kuweza kudetect na kufanya diagnosis ya gari ndogo mwenye ujuzi navyo..
Nimepata access ya kununua China, ila sijajua ipi inaweza kuwa nzuri zaidi.. mwenye picha au jina la kampuni naomba tafadhali. Matumizi sana sana kwa gari ndogo hizi Toyota, Nissan, Bmw na wenzake