Car diagnostic solutions

Lexus RX300 ilikuwa inawasha taa ya VSC na sababu ilikuwa na kufa kwa deceleration sensor ambayo hufungwa chini ya seat ya abiria ya mbele.

Mara nyingi huwa inakuwa kuharibika kwa hiyo sensor au kufanya zero point deceleration sensor calibration.
 
Honi yangu haiwaki kabisa leo siku ya 2 shida nini, NAOMBA FUNDI DODOMa
 
View attachment 1942165



Volvo XC70 ilikaa muda mrefu bila kuendeshwa hiyo nyaya zikaanza kukakakamaa.

Ghafla iligoma kuwaka na katika kupima ikaonekana Signal ya RPM inakosekana kwenye ECU. Kikawaida Crankshaft position sensor ndio inayofeed signal ya RPM kwenye ECU.

Kuja kucheki waya wa hiyo sensor umekata. Kuunga waya gari ikawaka.

It was my first experience kwa gari za VOLVO.



Karibu tukufanyie diagnosis na tukurekebishie matatizo ya gari lako. Hata kama tatizo umedumu nalo kwa muda mrefu. Gari yoyote ndogo kampuni yoyote.

Tupo Dar, Magomeni Mwembechai.


Tupigie 0621 221 606.
 

Attachments

  • Screenshot_2021-08-28-20-28-30-090_com.us.thinkdiag.plus.jpg
    17.7 KB · Views: 23
Nini kinasababisha gari kujipiga resi yenyewe. Sometimes resi inakua kubwa kama vile mtu amekanyaga mafuta.

Tatizo limeanza baada ya kubadili alternator.
 
Nimefanya live data diagnosis, matokeo yameoneka kama inavyoonekana hapo...
Naweka mkazo kwenye P0725...View attachment 1978755
Hii ni diagnosis ya kawaida.

Live Data ilibidi tuone speed sensor inatoa signal gani?

Anyway hii ni gari gani?

Kwa baadhi ya gari ndogo mfano VOLVO code ya engine speed inahusiana na Crankshaft position sensor....

And katika gari nyingi mtu akisema engine speed basi ni Crankshaft position sensor.

Anyway, Hiyo ni gari gani?
 
Nissan mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…