Jinny
Pimped Suzuki Samurai/Jimy
Jinny βSuzuki
Jinny
Kweli eeh?View attachment 3154867Hii haihitaji expert hata mi naijua.
Jimny kigari sijawahi kielewa.
Suzuki Samurai hardtop hio π kuhusu production years ni kuanzia 1985-1995.
Hahaha 1978 model ya suzuki imekaa kichina sio hio kabisa π! Hiyo pichani imeanza kuzalishwa 1985..Suzuki hiyo. Mwaka 1978 hiyo. Zilikuwa ndio gari za Wabunge. Sasa hv ni V8
Sahihi kabisaHii mbona kama suzuki, maruti/ Samurai wame ipimp tuu?
Suzuki maruti hiyo imepigwa tairi kubwa na imepigwa spacer juu kwa hiyo gari imekuwa kama imepanda mti.