Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalia hii video ya Toyota EA 86 imefanyiwa tuning.... Ni engine ya mwaka 1986 lkn ni balaa kwenye speedKazi za kibongo hazina uhakika wa ubora!
Tuning, Mapping, Pimping etc kwa huku kusini mwa Africa, pengine ni SA tu
Yani kuifanya hivi gx 100 [emoji1][emoji1]View attachment 2571288Kibongo bongo mtu kuapgrade ndinga iwe kama hivyo, gharama zake atakuambia ni bora aongeze gari nyingine.
Bado sijakusoma vizuri mkuu, hebu elezea kitaalam.Hizi gari hasa hasa za diesel kama Hilux unaweza manipulate part ya main software inayogovern injection ya mafuta kwenda kwenye engine.
Kiasi cha mafuta kinachoenda kwenye cylinders kupitia injectors huwa kinategemea data mbalimbali kutoka kwenye sensors.
Sasa sie wataalam tunajua kuisoma current situation ya gari na namna ya kuchokonoa ukaedit hizo data gari ikawa kama vile umefunga engine mpya. Hii sio michezo ya kila mtu kufanya, ni wataalam tu ndo wanaweza.
Ila mmbongo unamkuta na hilux yake inachechemea hadi huruma lkn hawezi kujipinda akatoa hela ngoma irekebishwe, maybe wengine ni kutokujua kama hio kitu ipo na inaweza kufanyika
Nawaangaliaga hawa jamaa lakini hebu tujiulize kwanini wanacustomize ready made cars? Why wasi design zao kuanzia mwanzo?Mzee Hawa wamespecialize kwenye customs tu especially on old cars based on the customers's wants not necessary waajiriwe na viwanda sababu na wao pia ni viwanda, ni segment nyingine ya soko ambayo inampa mteja kuamua anataka gari yake iweje.View attachment 2571279
Hii designe inafanyika sana South Africa.Yani kuifanya hivi gx 100 [emoji1][emoji1]View attachment 2571288View attachment 2571289
Ndio maana nimesema kiwanda hakiwezi kutengeneza kila mteja atakachotaka sababu kila mtu ana preference zake.Nawaangaliaga hawa jamaa lakini hebu tujiulize kwanini wanacustomize ready made cars? Why wasi design zao kuanzia mwanzo?
Unajua mpaka gari linaingia sokoni wanakuwa wamelifanyia testing kibao zikiwemo za balance, aerodynamics sasa huwa tukizipimp kwa maspoilers na wengne hadi wanazinyanyua zinapoteza hayo.
Kuna sababu kwaninj viwanda vya magari havifanyi haya wanayofanya hawa sidhani kama vimeshindwa kutengeneza vitu kama hivi.
Nmeelezea kama mara mbili hapo juu kama bado haujanisoma sidhan kama nitaweza kuelezea zaidi ukanielewaBado sijakusoma vizuri mkuu, hebu elezea kitaalam.
Nimeona.Nmeelezea kama mara mbili hapo juu kama bado haujanisoma sidhan kama nitaweza kuelezea zaidi ukanielewa
Duuu!! Umeelewa mada kweli?
kabisa kabisa mkuu 100%Kufanya hizo mambo inahitaji uwe na passion na pesa!
Ku'customize gari to that level ni investment!
Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
Kutana na huyu mwamba mwenye mapenzi na ndinga yake!kabisa kabisa mkuu 100%
Huyo sio tajiriYes nimegundua big amount of money is needed wenzetu wana disposable income kwa ajili ya luxuries.
Tajiri mmoja aliwahi kuniambia si kwamba anashindwa kununua Bentley ama G WAGON ila anafikiria ni sawa na FUSO ngapi?