Car styling, customs and replacements .

Kazi za kibongo hazina uhakika wa ubora!

Tuning, Mapping, Pimping etc kwa huku kusini mwa Africa, pengine ni SA tu
Angalia hii video ya Toyota EA 86 imefanyiwa tuning.... Ni engine ya mwaka 1986 lkn ni balaa kwenye speed
 

Attachments

  • Altis Grande 1.8 Vs Corolla 86 3sge beams. Full video [Altis Grande Vs 86]_Full-HD_60fps.mp4
    55 MB
Bado sijakusoma vizuri mkuu, hebu elezea kitaalam.
 
Nawaangaliaga hawa jamaa lakini hebu tujiulize kwanini wanacustomize ready made cars? Why wasi design zao kuanzia mwanzo?
Unajua mpaka gari linaingia sokoni wanakuwa wamelifanyia testing kibao zikiwemo za balance, aerodynamics sasa huwa tukizipimp kwa maspoilers na wengne hadi wanazinyanyua zinapoteza hayo.
Kuna sababu kwaninj viwanda vya magari havifanyi haya wanayofanya hawa sidhani kama vimeshindwa kutengeneza vitu kama hivi.
 
Ndio maana nimesema kiwanda hakiwezi kutengeneza kila mteja atakachotaka sababu kila mtu ana preference zake.

Mfano mwingine anataka ku lift suspension juu sababu eneo analoishi lina miinuko na mabonde. Mwingine anataka gari iwe na mwonekano wa sport car anataka kuweka low suspension na matairi makubwa

Mwingine anataka ku installl Turbo gari ipitilize uwezo wake wa speed na mwingine anataka kutumia nitrous oxide.
View attachment 2571327View attachment 2571332
 
Yes nimegundua big amount of money is needed wenzetu wana disposable income kwa ajili ya luxuries.

Tajiri mmoja aliwahi kuniambia si kwamba anashindwa kununua Bentley ama G WAGON ila anafikiria ni sawa na FUSO ngapi?
Huyo sio tajiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…