jossiekaps
JF-Expert Member
- Sep 11, 2015
- 322
- 248
Lengo langu ni kuuliza kwamba hapa Mungu anashukuriwa kwa jambo gani?, wenye kustahili shukran ni hao walioiopoa hiyo gari.Endelea na roho mbaya
kdf hawahusiki..big up kenya navy and the whole crew
Siku 14 kuopoa kigari kimoja,je ikizama hiyo ferry hapo likoni?Hongera kwa wahusika wote, pia nimefarijika kuona ni kiasi gani serikali inaweza kwenda ili kuhakikisha hapotei Mkenya, maana kuna baadhi ya mataifa miili huachwa tu iliwe na samaki.
Hata hivyo kuna maswali mengi sana yanafaa yajibiwe, ilitokeaje tukafika huku,
Hapana,mamako wa kariakorNi babu yako wa kibera
You have proven your "Seniority" in stupidity Mr. Gunther1 ππMamako ndiye aliyekuambia ivo?
Siku 14 kuopoa kigari kimoja,je ikizama hiyo ferry hapo likoni?
Toa akili ghasia hapa.
Hiki kizunguzungu umekijulia wapi Kaka? π³ ππ©You have proven your "Seniority" in stupidity Mr. Gunther1 ππ
ndo siku 13!!!?
Wamewakuta wazima?.hongera za nini watu wanamajonzi.Jiwe angewashusha vyeo hao waokoajiKwa kweli wamefanya juhudi kubwa sana kuweza kutoa hiyo gari toka kina cha mita 58