Car that had the bodies of Mariam Kighendi and her daughter has finally been retrieved

Car that had the bodies of Mariam Kighendi and her daughter has finally been retrieved

We are all in parade of death..its only time to decide nani anaanza and who is next uwe mkenya au mtz. #RIPmother+Daughter
 
Yani Kenya Hadi wahindi wake ndo muone Hilo Gari lililozama?
 
Hongera kwa wahusika wote, pia nimefarijika kuona ni kiasi gani serikali inaweza kwenda ili kuhakikisha hapotei Mkenya, maana kuna baadhi ya mataifa miili huachwa tu iliwe na samaki.
Hata hivyo kuna maswali mengi sana yanafaa yajibiwe, ilitokeaje tukafika huku,
Siku 14 kuopoa kigari kimoja,je ikizama hiyo ferry hapo likoni?
 
Duh!!tena wewe una miaka mingapii...
Yani kw akili zako umefikiria ukamaliza, hehee ferry ni kubwa zaidi ya mara mia moja ya hilo gari..
Sasa piga hesabu mwenyewe
100x14[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Siku 14 kuopoa kigari kimoja,je ikizama hiyo ferry hapo likoni?
 
Nipende kuwapa pole wafiwa.
Nipende kupongeza watanzania walioshiriki zoezi la uopoaji wa miili ya marehemu.
Nipende kuwapa pole wakenya kwa simanzi iliyowapata.

Natafakari either mama alimwona binti akifa au binti alimuona mama akifa knowing that she is also going to die!

Ee Mungu Tuhurumie.
 
Back
Top Bottom