Lyamber
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 11,716
- 18,828
Mleta mada alipost 2016Hata mimi nashangaa kuona kuna watu wanasema hakuna ECU remapping TZ wakati GTPtz wanafanya hio kazi vizuri tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mleta mada alipost 2016Hata mimi nashangaa kuona kuna watu wanasema hakuna ECU remapping TZ wakati GTPtz wanafanya hio kazi vizuri tu.
2015 jamaa walikuwepo kwa mimi first time kuwajua... huenda walikuwepo before 2015Mleta mada alipost 2016
Kote huko ya nn, arusha wapo wengi tumkuu hizo shughuli nenda nairobi ndo najua wamebobea kwenye hizo kazi hata mombasa. by the way hiyo gari yako sina haikika km unaweza kuigfamyia tuning.
Nicheki mkuu kama bado hujapata wa kukufanyia hio kazifundibenz, wapi mnapatikana? Nataka kufanya chip tuning, dte system au bsr mnazo?
Weka maelezo ya unakopatikana. Na kama hizo DTE system au bsr kama unazo.Nicheki mkuu kama bado hujapata wa kukufanyia hio kazi