Lyamber JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 11,716 Reaction score 18,828 Feb 17, 2021 #21 chilubi said: Hata mimi nashangaa kuona kuna watu wanasema hakuna ECU remapping TZ wakati GTPtz wanafanya hio kazi vizuri tu. Click to expand... Mleta mada alipost 2016
chilubi said: Hata mimi nashangaa kuona kuna watu wanasema hakuna ECU remapping TZ wakati GTPtz wanafanya hio kazi vizuri tu. Click to expand... Mleta mada alipost 2016
C chilubi JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 8,188 Reaction score 6,244 Feb 17, 2021 Thread starter #22 Lyamber said: Mleta mada alipost 2016 Click to expand... 2015 jamaa walikuwepo kwa mimi first time kuwajua... huenda walikuwepo before 2015
Lyamber said: Mleta mada alipost 2016 Click to expand... 2015 jamaa walikuwepo kwa mimi first time kuwajua... huenda walikuwepo before 2015
Elly official JF-Expert Member Joined Sep 16, 2018 Posts 730 Reaction score 989 Feb 17, 2021 #23 Metallic said: mkuu hizo shughuli nenda nairobi ndo najua wamebobea kwenye hizo kazi hata mombasa. by the way hiyo gari yako sina haikika km unaweza kuigfamyia tuning. Click to expand... Kote huko ya nn, arusha wapo wengi tu
Metallic said: mkuu hizo shughuli nenda nairobi ndo najua wamebobea kwenye hizo kazi hata mombasa. by the way hiyo gari yako sina haikika km unaweza kuigfamyia tuning. Click to expand... Kote huko ya nn, arusha wapo wengi tu
kali linux JF-Expert Member Joined May 21, 2017 Posts 2,192 Reaction score 5,685 Feb 18, 2021 #24 Nzi said: fundibenz, wapi mnapatikana? Nataka kufanya chip tuning, dte system au bsr mnazo? Click to expand... Nicheki mkuu kama bado hujapata wa kukufanyia hio kazi
Nzi said: fundibenz, wapi mnapatikana? Nataka kufanya chip tuning, dte system au bsr mnazo? Click to expand... Nicheki mkuu kama bado hujapata wa kukufanyia hio kazi
Ubumuntu JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 14,345 Reaction score 10,885 Feb 20, 2021 #25 kali linux said: Nicheki mkuu kama bado hujapata wa kukufanyia hio kazi Click to expand... Weka maelezo ya unakopatikana. Na kama hizo DTE system au bsr kama unazo.
kali linux said: Nicheki mkuu kama bado hujapata wa kukufanyia hio kazi Click to expand... Weka maelezo ya unakopatikana. Na kama hizo DTE system au bsr kama unazo.