Carabao Cup 2023: Man United yapangwa kuivaa Newcastle United

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Baada ya NewcastleUnited kufanikiwa kuondosha ManchesterCity katika Raundi ya Tatu ya CarabaoCup, timu hiyo imepangwa kucheza ugenini kwenye Uwanja wa Old Trafford dhidi ya ManchesterUnited katika Raundi ya Nne

Michezo ya Raundi ya Nne inatarajiwa kuchezwa Oktoba 2023 katika tarehe zitakazopangwa, ratiba kamili ya hatua hiyo ni hii:

Mansfield v Port Vale
Chelsea v Blackburn Rovers
Exeter City v Middlesbrough
Ipswich Town v Fulham
ManUnited v Newcastle United
Bournemouth v Liverpool
West Ham v Arsenal
Everton v Burnley
 
Naona Mancity wametukimbia,aahaaaa
 
Mwaka huu kipara na treble ni mbingu na nchi!
 
Wanawaonea newcastle yaani kigogo baada ya kigogo
 
Wakubwa wawili hatunao hapo

Wa kwanza Arsenal
Wa pili...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…