Carabao Cup final

CalvinPower

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2008
Posts
1,634
Reaction score
1,001
Japo Carabao Cup haifuatiliwi sana ila inaumuhimu wake, Ni hapo Wembley.



Kikombe pekee ambacho arsenal wanauwezo wa kukichukua kwa sasa ni hichi tu, maana kwenye FA wametolewa, kwenye uefa hawapo, Epl ndo matumaini hakuna kabisa. swali ni je wataweza kukabiliana na miamba wenzao Manchester City ? Hapo Tarehe 25 Feb 2018.



Baada ya Arsenal kuwafunga Chelsea wamejipatia nafasi ya kuingia fainali kwenye kikombe cha EFL ( carabao cup ) na hivyo watakutana na Miamba wenzao Manchester City.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…