Carbon credit business

Carbon credit business

Presha inapanda,presha inashuka;

Niko nje ya Dar,nategemea next week kurudi dar,na nitapitiliza Mapanda/Chogo kuangalia usalama na maendeleo ya kitalu cha miche. Nikitoka huko nitakutafuta na ikibidi nitakufuata hata kama utakuwa Mafinga.

Mpaka hapo nakushukuru sana mkuu. Namwomba Mungu nipate hiyo fursa ya kuonana na MD na Mungu anipe kibali cha kusikilizwa na mkuu huyo.

MD wa Green resources? mpe salaam nyingi sana. I wish hii issue wakaipeleka kagera mbona tutafaidi?
 
MD wa Green resources? mpe salaam nyingi sana. I wish hii issue wakaipeleka kagera mbona tutafaidi?

Nilionana na mkuu mmoja hivi, alinieleza vizuri, Kagera tutakuja tu, baada ya muda mfupi tutakuwa Buyango kule. Kg mbili za pinus patula zimepelekwa pale ili ku-test zali. Kaa mkao wa kula.
 
Nilionana na mkuu mmoja hivi, alinieleza vizuri, Kagera tutakuja tu, baada ya muda mfupi tutakuwa Buyango kule. Kg mbili za pinus patula zimepelekwa pale ili ku-test zali. Kaa mkao wa kula.
Je mumefikia wapi na projects hizi? Cc Edson , @environmenal
 
Je mumefikia wapi na projects hizi? Cc Edson , @environmenal
Duuh long time, tuliishia kukusanya data mashambani na marehemu Dr Lusambo wa SUA, baada ya ya hapo ikawa story ofisi ya VP, mpaka jioni hii hakuna kitu.
 
Back
Top Bottom