Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Kucha zinasadifu yaliyomo.Rapa machachali wa Marekani, Cardi B mwenye watoto wanne, ameweka msimamo wake wazi kabisa kwamba kwasasa hawezi kabisa kumpikia wanaume, na akiwa na njaa anaweza kuagiza chakula kupitia Uber Eats.
Kauli yake imezua mjadala mkubwa mtandaoni kwa kasi, huku baadhi ya watu wakiiona kama ishara mbaya (red flag) na wengine wakimpongeza kwa kuweka mipaka mizuri katika mahusiano.
Mjadala mkubwa zaidi umeibuka kuhusu kupika kama kunapaswa kuwa jukumu la lazima kwa mwanamke au ni jukumu la kushirikiana kati ya wapenzi, au ishu siyo kupika ishu ni chakula haijalishi kinatokea wapi?
View attachment 3654369
🤣🤣Au waende huko huko USAWandengereko wetu msije mkamuiga
Kumpikia mtu ninayempenda kwangu ni moja ya njia ya kuonesha mapenzi
Mtu hawi single Maza bila sababu, n hizo Kauli zingine ni kick Tu za mitandaoni hao Mabwana waliomzaisha mpaka watoto wanne anawapikia vizuri tuNdio maana wamemgeuza incubator, mwanaume timamu kiakili na kimwili hawezi oa striper
Kama hawa ndio marolumodo wenu basi Natafuta Ajira yupo sahihi sana kuwasagia kunguni single mother
Iga na ww mwajuma ndala ndefu uone mwenzio yupo na sasampa huyo yupo kutembea na kibenten siyo ww mpaka mafuta ya naziPesa ikiwepo jiko halikubabaishi kabisa. Wanaopinga maskini tu🤣🤣🤣🤣tafuteni pesa