Card B; Siwezi kumpikia mwanaume kama una njaa si uagize

Mkuu hunijui sikujui sasa kama furaha yako ni dhihaka nakuonea huruma sana mwajuma ndala ndefu pole kwa kutegemea pesa za wanaume na mpaka mafuta ya nazi. Anyway siku hizi yapo mafuta ya kukamulia ng'ombe achana na mafuta ya nazi
Iga na ww mwajuma ndala ndefu uone mwenzio yupo na sasampa huyo yupo kutembea na kibenten siyo ww mpaka mafuta ya nazi
 
Nchi za kimasikini kuanzia Africa, Asia na Amerika ya kusini bado kuna hulka ya mke wako akupikie msosi kila siku
Ulaya na US, hata kama wana watoto, huwa wote wanazamu ya aidha kupika au kuagiza chakula
 
Nchi za kimasikini kuanzia Africa, Asia na Amerika ya kusini bado kuna hulka ya mke wako akupikie msosi kila siku
Ulaya na US, hata kama wana watoto, huwa wote wanazamu ya aidha kupika au kuagiza chakula
Wafuatilie Passport Bros wa US na Ulaya wanavyo kimbilia Africa,Asia na South America kuoa ndipo utaelewa mahitaji ya mwanaume hajalishi colour ni yale yale.

Kuna wimbi ambalo kila siku linakuwa la wanaume wa US na EU,ambao hawataki kuoa kwao (Passport Bros).
 
Ni sawa na amwambie pia mme wake kwamba hawezi kumpea mbususu kama ana upwiru awapigie "Groupie" au "Call girl" waje kumpa huduma.
 
Pesa ikiwepo jiko halikubabaishi kabisa. Wanaopinga maskini tu🤣🤣🤣🤣tafuteni pesa
Hivi vitu vinategemea na makubaliano yenu. Experience yangu ni kuwa mwanamke anayeleta bahasha nyumbani, utakuwa unamuonea kukupikia, wengi hawajui kupika, akipika ni makorokocho tu.
 
Hata hapa JF unaweza kuona ni nani anaweza kuwa wife material na nani atakuwa mume mwenzako ndani ya nyumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…