Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Septemba 7 mwaka huu, Cardi B na Offset waliungana kwa pamoja kumkaribisha ulimwenguni mtoto wao wa Tatu pamoja.
Cardi B ame-share nasi picha pamoja na video kwenye akaunti yake ya instagram, mtoto huyo ni wa Kike na anakuwa wa tatu akiwafuata; Kulture Kiari Cephus (6) na Wave Set Cephus mwenye miaka 3.
Cardi na Offset walitangaza kutengana mwaka 2018, lakini hatimae walirejea pamoja. Mwezi Septemba 2020, Cardi aliwasilisha rasmi ombi la talaka, lakini wenzi hao waliamua kuifuta na kuendelea na mahusiano yao yaliyoleta mtoto wa tatu.
Tazama walivyofurahi pamoja baada ya kupokea kichanga chao.
Cardi B ame-share nasi picha pamoja na video kwenye akaunti yake ya instagram, mtoto huyo ni wa Kike na anakuwa wa tatu akiwafuata; Kulture Kiari Cephus (6) na Wave Set Cephus mwenye miaka 3.