E E52 Member Joined Oct 31, 2010 Posts 81 Reaction score 14 May 21, 2012 #1 vp wadau kuna tetesi kwamba care international hawajaita watu interview bado kwenye zile nafasi za tabora.........nauliza kama ni kweli au walishaita
vp wadau kuna tetesi kwamba care international hawajaita watu interview bado kwenye zile nafasi za tabora.........nauliza kama ni kweli au walishaita
shegaboy JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 213 Reaction score 34 May 21, 2012 #2 tayari na watu wanafanya kazi tayari ndugu yangu
Mau Senior Member Joined Apr 8, 2009 Posts 176 Reaction score 10 May 21, 2012 #3 nawaona mjini hapa wiki ya pili hii, washaanza kazi kitambo
F fatakifataki Senior Member Joined Nov 2, 2009 Posts 134 Reaction score 60 May 22, 2012 #4 care ni miongoni mwa organization zenye mambo ya kamlete....achana nao acha waendelee kuharibu image yao tu siku zao zinakaribia
care ni miongoni mwa organization zenye mambo ya kamlete....achana nao acha waendelee kuharibu image yao tu siku zao zinakaribia