Gautten Potten
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 1,642
- 3,426
Kwa mara ya kwanza Getafe wameuza jezi nyingi zenye jina la Mason Greenwood mgongoni ndani ya wiki moja kuliko walizouza kwa mchezaji yeyote katika historia ya klabu hiyo.
Mkopo wa Greenwood huko Getafe umepokelewa kifalme kuanzia kwa wachezaji wa Getafe, mashabiki na wafanyikazi kwa ujumla.
Kipindi Greenwood akisota bibie alikua nje akizurura na wenzie na kushauriana na wanawake sugu katika ndoa.
Ukumbusho
Kwamba yeye ndiye yule yule aliyemshtaki Greenwood kuwa alimbaka, akamburuta hadi mahakamani, akaharibu kazi yake pale Manchester united, akatangaza ujauzito, akaja kuondoa kesi, mahakama ikamwachilia Greenwood na sasa wana mtoto pamoja.
Wote wawili wameanza mwanzo mpya huko Spain. Je, una roho ya kusamehe mtu aliyejaribu kuharibu mazima mustakabali wa maisha yako na kuanza naye upya. ?
Wanawake wa Siku hizi wamekaa kidalali dalali. Nafkiri Bado anamtegea ili ambamize kisawasawa.