Caren Simba (mzazi mwenzake na Baraka Da Prince) afunguka hivi

Caren Simba ambaye ni mzazi mwenzie Baraka The Prince afunguka:

"Mimi na Barakah tumekuwa kwa muda mrefu ila aliyekuwa anajulikana ni Naj, wakati yeye yupo na Naj mimi nilikuwa na ujauzito wake na tukaachana kwa sababu ya huyo Naj, sikuwa mchepuko bali ni mwanamke wake kabisa, hatukuwa tayari kuweka mahusiano yetu wazi hivyo Naj ndio akatumia hiyo nafasi" amesema Caren Simba

Caren Simba ameongeza kuwa kwasasa yeye na Barakah The Prince wana uhusiano wa kawaida kama mzazi mwenzie pia anamsaidia kutoa ushirikiano kwenye upande wa malezi ya mtoto wao ila sio wapenzi tena.

Hongera Sana Kwa kukojoa pazuri
 
Kumbeee
 
Ile liquor store yake Careen simba pale Goba kwa awazi naona imemshinda,.sahv yuko mdau mwingine pale
 
Caren Simba ambaye ni mzazi mwenzie Baraka The Prince afunguka:

"Mimi na Barakah tumekuwa kwa muda mrefu ila aliyekuwa anajulikana ni Naj, wakati yeye yupo na Naj mimi nilikuwa na ujauzito wake na tukaachana kwa sababu ya huyo Naj, sikuwa mchepuko bali ni mwanamke wake kabisa, hatukuwa tayari kuweka mahusiano yetu wazi hivyo Naj ndio akatumia hiyo nafasi" amesema Caren Simba

Caren Simba ameongeza kuwa kwasasa yeye na Barakah The Prince wana uhusiano wa kawaida kama mzazi mwenzie pia anamsaidia kutoa ushirikiano kwenye upande wa malezi ya mtoto wao ila sio wapenzi tena.

Ee
 
Sasa hivi ukimsimamisha Baraka na Caren hawaendani na utamshanga Caren aliwezaje kutoka na Baraka hadi kumzalia kabisa, ila nikikumbuka Irene Uwoya nae aliwahi kudate na H.Baba hehehehe ujana maji ya moto
 
Back
Top Bottom