Carhinho ni moto wa kuotea mbali

Yanga mmemisi vitu vya kushangilia. Mnashangilia mpiga kona kweli?
 
kwa hiyo huko mkoani yanga watacheza pungufu, ? we ndio mbumbumbu kweli
huna sababu ya kuanza kutoa dhihaka. Kwa hali ya viwanja vyetu. Mara nyingi tunatarajia mpira mzuri na matokeo ya bila mashaka team ikiwa hapa mjini.
 
roho iniume kwa huyo mwizi wa magari, kila mechi anatolewa hata kocha wa simba amemchoka hilo garasa, utamfananisha na carlinho?
Hivi mtu akitoka hajui? Ushamba unatutafuna wabongo.......
Morrison ameishi akigombanisha vilabu vikihitaji huduma yake....
Uje umfananishe na huyo carinhos.....ambaye maisha yake ameishi akitolewa mikopo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…