Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 2,861
- 5,305
Carilinyo ni fundi kwel kweli
Fundi Maiko[emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Carilinyo ni fundi kwel kweli
Morison kawa garasa, naona hamumsifii tenaFundi Maiko[emoji16]
Morison kawa garasa, naona hamumsifii tena
Yanga mmemisi vitu vya kushangilia. Mnashangilia mpiga kona kweli?Dakika chache tu nilizomtazama kwenye hii game ya yanga Vs Mbeya city leo naishia kusema huyu mwamba Yanga wamelamba dume ukitoa usharobaro wake lakini yuko vizuri aswaa,
Kila pasi inafika kwa muhusika na kila krosi anayopiga lazima iwe ya hatari.
Kona kali kabisa iliyopigwa kutoka kwake ndio kona pekee iliyopelekea ushindi kwa yanga,
Kongole kwake CARHINHO Sharobaro wa Yanga SC
Long live Young African, long live all fans wa young African
huna sababu ya kuanza kutoa dhihaka. Kwa hali ya viwanja vyetu. Mara nyingi tunatarajia mpira mzuri na matokeo ya bila mashaka team ikiwa hapa mjini.kwa hiyo huko mkoani yanga watacheza pungufu, ? we ndio mbumbumbu kweli
Huna akili weweBinafsi sio mshabiki wa hizi timu local lakin itoshe tu kusema msimuu unamabadiliko makubwa kw yanga, inawezekana msimu huu wakafanya vizuri sana
Labda serikali iliyopo madarakan isiwe ya JPM & MAJALIWAHongera sana chama kubwa Young African, mwaka huu watajinyonga asubuhi mapema na kombe tunachukua asubuhi mapemaaaaaaaaaaaaaaaaa
roho iniume kwa huyo mwizi wa magari, kila mechi anatolewa hata kocha wa simba amemchoka hilo garasa, utamfananisha na carlinho?Unamtaja uku roho inauma[emoji16]
Hivi mtu akitoka hajui? Ushamba unatutafuna wabongo.......roho iniume kwa huyo mwizi wa magari, kila mechi anatolewa hata kocha wa simba amemchoka hilo garasa, utamfananisha na carlinho?
ashakum si matusi lakini hakika ni heri wazazi wako wangetumia condomHuna akili wewe
Kuna kupiga2, kama ulivyosema kuwa hata yikpe anaweza kuupiga ila kuna watu ambao ni "Dead Ball specialists" Kama vile Carlos Stenio Fernandes Do Carmo kifupi Muite tu Carlinhos.Kona ni mpira wa kutengwa, hata Yikpe anaweza kuupiga
Yikpe alipiga Kona ngapi za magoliKona ni mpira wa kutengwa, hata Yikpe anaweza kuupiga
Anakata viuno tu kama demu,hana lolote.