Carhinho ni moto wa kuotea mbali

Carhinho ni moto wa kuotea mbali

Hiyo kama ya kichuya ilishawahi pigwa na lunyamila siku nyingi sana, hivyo huo siyo muujiza
Kwa hiyo hata ya Carlinhos sio ya miujiza pia? Maana ndio mada iliyopo, kwamba Carlinhos amechonga kona kali sana hivyo ni moto wa kuotea mbali
 
Ile video ina mwaka mzima humu mitandaoni!na Calinho amechora tatoo zaidi ya miaka 3 nyuma ana tatto mkononi!yule anaecheza hana tattoo na wala sio yeye!acheni chuki Simba
Mkuu watu tuna password zote za hapa mjini,yule ni Calinho piga uwa.
 
Back
Top Bottom