Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hhahahahahahatoroli ni ipi mkuu na kirikuu ni ipi mzeee
Mark X yenye cc ya chin kabisa 2500 zaid ya hapo kuna cc3000 chagua ww mwnywsawa kaka Nimekusoma mzee ila nauliza Mark X hakuna yenye 2000CC ni hilo tu kaka
Ngoja nikusaidie kitu.... Carina t.i ni gari ngumu na inatumia mafuta vizuri kwa sababu ina engine ndogo... Inategemea kama engine ni 5A au 7A... Lakin kwa ujumla tegemea average ya km 8 hadi 11 kwa Lita kutegemea na hali ya engine... Upande wa vipuri gharama siyo kubwa na mafundi wazuri wapo wengi tu.... Mark x pia ni gari ya Kisasa zaidi lakin pia ukiipa matunzo inadumu sana.... Engine yake ni 4gr ya cc 2500... Zipo za cc 3000 pia lakin ulaji mafuta Uko juu kidogo... Kwa ile ya cc 2500 tegemea ulaji wa mafuta km. 7 had 9 kwa Lita.... Upande wa vipuri ni gharama kubwa ukilinganisha na Carina t.I... Na pia mafundi wazuri si weng sana wanaomudu kutengeneza mark x inavyostahili...toroli ni ipi mkuu na kirikuu ni ipi mzeee
Ngoja nikusaidie kitu.... Carina t.i ni gari ngumu na inatumia mafuta vizuri kwa sababu ina engine ndogo... Inategemea kama engine ni 5A au 7A... Lakin kwa ujumla tegemea average ya km 8 hadi 11 kwa Lita kutegemea na hali ya engine... Upande wa vipuri gharama siyo kubwa na mafundi wazuri wapo wengi tu.... Mark x pia ni gari ya Kisasa zaidi lakin pia ukiipa matunzo inadumu sana.... Engine yake ni 4gr ya cc 2500... Zipo za cc 3000 pia lakin ulaji mafuta Uko juu kidogo... Kwa ile ya cc 2500 tegemea ulaji wa mafuta km. 7 had 9 kwa Lita.... Upande wa vipuri ni gharama kubwa ukilinganisha na Carina t.I... Na pia mafundi wazuri si weng sana wanaomudu kutengeneza mark x inavyostahili...
Kwa ujumla mark x kama ni ndege ni Boeing 747... Carina t.I ni panga mbele.....
Utachagua wewe
Aaah!hapo mkuu ungesema angalau kirikuu na bajaj!dah toroli halitumii hata maji!!Hapo ni sawa unafananisha gharama za uendeshaji kati ya toroli na kirkuu
Acha kufananisha Mark X na vitu vya ajabuNiaje Wakuu
Hizi Gari kwakwel nazipenda Vibaya sana sasa nataka kujua ipi Bora kati hizi nikilenga kwenye sector nyet kama Fuel Consuption Gharama za Vipuri na Ugumu wa Gari
Nawasilisha.
agundue ukwepaji wako wa kodi😀ili ugundue nin sasa