Carina T.I na Toyota Mark X

Carina T.I na Toyota Mark X

Niaje Wakuu

Hizi Gari kwakwel nazipenda Vibaya sana sasa nataka kujua ipi Bora kati hizi nikilenga kwenye sector nyet kama Fuel Consuption Gharama za Vipuri na Ugumu wa Gari

Nawasilisha.
unauliza swali ambalo majibu unayo...
 
Ukitaka kununua gari angalia usalama kwanza na sio mafuta.....ukiona unaangalia kwanza mafuta bila kujali usalama ujue muda wa kumiliki mkoko bado haujafika......
 
  • Thanks
Reactions: cpt
Back
Top Bottom