Carina T.I na Toyota Mark X

cc12

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
1,018
Reaction score
396
Niaje Wakuu

Hizi Gari kwakwel nazipenda Vibaya sana sasa nataka kujua ipi Bora kati hizi nikilenga kwenye sector nyet kama Fuel Consuption Gharama za Vipuri na Ugumu wa Gari

Nawasilisha.
 
Kama unataka kukwepa gharama carina inakufaa hila kama uko vizur kwenye swala zima la mafuta na nn chukua mark x
 
Kama unataka kukwepa gharama carina inakufaa hila kama uko vizur kwenye swala zima la mafuta na nn chukua mark x
sawa kaka Nimekusoma mzee ila nauliza Mark X hakuna yenye 2000CC ni hilo tu kaka
 
sawa kaka Nimekusoma mzee ila nauliza Mark X hakuna yenye 2000CC ni hilo tu kaka
Mark X yenye cc ya chin kabisa 2500 zaid ya hapo kuna cc3000 chagua ww mwnyw
 
toroli ni ipi mkuu na kirikuu ni ipi mzeee
Ngoja nikusaidie kitu.... Carina t.i ni gari ngumu na inatumia mafuta vizuri kwa sababu ina engine ndogo... Inategemea kama engine ni 5A au 7A... Lakin kwa ujumla tegemea average ya km 8 hadi 11 kwa Lita kutegemea na hali ya engine... Upande wa vipuri gharama siyo kubwa na mafundi wazuri wapo wengi tu.... Mark x pia ni gari ya Kisasa zaidi lakin pia ukiipa matunzo inadumu sana.... Engine yake ni 4gr ya cc 2500... Zipo za cc 3000 pia lakin ulaji mafuta Uko juu kidogo... Kwa ile ya cc 2500 tegemea ulaji wa mafuta km. 7 had 9 kwa Lita.... Upande wa vipuri ni gharama kubwa ukilinganisha na Carina t.I... Na pia mafundi wazuri si weng sana wanaomudu kutengeneza mark x inavyostahili...

Kwa ujumla mark x kama ni ndege ni Boeing 747... Carina t.I ni panga mbele.....

Utachagua wewe
 


Asante sana mkuu unajua hadi kero Asante kwa Heri Kubwa
 
Yaani hata mtu asiyejua magari akiangalia anajua kabisa kwa mark x ni 'matawi' sana compared to carina, labda uzungumie kwenye upande wa unafuu wa uendeshaji ndo utaangukia kwa carina
 
Mkuu unapenda T.I?kweli kila mtu ana machaguo yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…