sostenes mbwelwa
JF-Expert Member
- Jul 25, 2016
- 289
- 139
unauliza swali ambalo majibu unayo...Niaje Wakuu
Hizi Gari kwakwel nazipenda Vibaya sana sasa nataka kujua ipi Bora kati hizi nikilenga kwenye sector nyet kama Fuel Consuption Gharama za Vipuri na Ugumu wa Gari
Nawasilisha.
kumbe we shida ya mark 10sawa kaka Nimekusoma mzee ila nauliza Mark X hakuna yenye 2000CC ni hilo tu kaka
Tujue unawezaje kumudu gari moja wapo..ili ugundue nin sasa