Mwanyasi JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 7,955 Reaction score 7,109 Jun 30, 2016 #21 Hizo gari mbili ulizochagua carina na premio ni nzuri kuliko gx100, carina ni nzuri sana
Shuleless JF-Expert Member Joined Aug 12, 2015 Posts 4,957 Reaction score 6,221 Jun 30, 2016 #22 Carina ni gari nzuri....lakini iwe TI.Carina SI ni yakishua kidogo{wese halitakiwi la mawazo}
Gunst JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 2,995 Reaction score 5,664 Jul 11, 2016 #23 Carina TI ina body ngumu, ni nzuri hata kwenye rough roads.
M24 Headquarters-Kigali JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 8,199 Reaction score 8,186 Jan 3, 2017 #24 Acha kufananisha Carina na vitu vya kipuuzi.
mpapamwali Senior Member Joined Dec 23, 2016 Posts 148 Reaction score 168 Jan 3, 2017 #25 Premio ni gari safi sana kwa starehe