Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,012
- 23,633
Moja, Fernando Santos hajawahi kufundisha Madrid Boss, ama sijui ni coach gani wa Portugal unayemzungumzia. I assume ni Queiroz.Presha za kipumbavu
ndo maana Morinho alishindwa
na yule kocha wa taifa wa Portugal pia alishindwa kabisa
na wote walitimuliwa huku wanatukanwa
Moja, Fernando Santos hajawahi kufundisha Madrid Boss, ama sijui ni coach gani wa Portugal unayemzungumzia. I assume ni Queiroz.
Pili, nani aliwatukana? Unaweza kutaja kiongozi au Club figure yoyote aliyeongea chochote kibaya against Mou, au coach yoyote aliyewahi kutimuliwa. Na usitaje mashabiki tafadhali, club haiwezi control hisia zao.
waarabu wanasema shufuu uskut...yaani ndio lakini haikuhusu
mkuu usiwe mkimbiziHahahaha,Mkuu Aleyn naona unamuita mpambe wako aje. Yeyote aneujua na kuupenda Mpira lazima aipende na kuifahamu Milan pamoja na Watakatifu wake wote kama wakina George Weah,Maldin,Seedof,Dida,Leonardo,Kaka,Nesta wakiwa chini ya Nabii wao Kiongozi na Mtume wa Mwisho kwenye Soka Roooonaldihno,hiyo unatamaka ki-Ndoroooobo Ndorooooobo.
mkuu usiwe mkimbizi
Mbona unapenda kunichafua kiasi hiki,hivi unajua kwann nilikujibu swala la Arsenal?
Aliyataka mwenyewe kwa kudraw na Valencia, Kufungwa na Athletic
Huyo Valensia inaonekana alimshindwa sababu mechi ya kwanza alifungwa ya pili kadraw huyo atletiko ndo tusimzungumze kabsa
mkuu hzo nilishazjibu.mda kabla hujakiri.kuwa wewe acmilan sasa ucpanic mkuu hata hvyo si bora arseno kuliko milan
Hatujakuwa na matokeo mazuri uwanjani for ages na bado tumeitawala deloitte money league kwa miaka si chini ya 10. Tulikuwa na superstar coach Mourinho ambaye with him ni advantage kubwa kibiashara na kimchezo, alitimuliwa; now katimuliwa Carlo for the likes of Unai Emery, Benitez au Klopp ambao kawazidi kimafanikio na kwa mvuto kibiashara. Again, huna proof ya tuhuma unazotoa Chief.
HAKUNA ALIYEWAHI KUFUKUZWA MADRID KWA SABABU ZA KIBIASHARA .
Siyo kweli! Waliokaa muda mrefu ila kikombe, wakaona mtu pekee anayeweza kuwapa taji faster ni Mourinho! Kabla ya Mourinho UEFA walikuwa wanaishia raundi ya 16 bora kwenye hatua ya awali ya mtoano. Msimu wa kwanza Mourinho aliwapa kombe la mfalme, msimu wake wa pili ndiyo hakupata taji lolote.
I rest my case.Perez hatoi fedha mfukoni kuendesha timu. Hebu kumbuka hicho kipindi cha miaka 10 ya kufanya vibaya Madrid walikuwa klabu ya pili kwa utajiri baada ya Man U
Nishapoleka mie Mkuu.. Ninashangaa West Ham wanamtaka Carlo Ancelloti sie tumekaa tu na zoba wetu.. Haki ya nani wataniua mie na presha..