Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,012
- 23,633
Moja, Fernando Santos hajawahi kufundisha Madrid Boss, ama sijui ni coach gani wa Portugal unayemzungumzia. I assume ni Queiroz.Presha za kipumbavu
ndo maana Morinho alishindwa
na yule kocha wa taifa wa Portugal pia alishindwa kabisa
na wote walitimuliwa huku wanatukanwa
Pili, nani aliwatukana? Unaweza kutaja kiongozi au Club figure yoyote aliyeongea chochote kibaya against Mou, au coach yoyote aliyewahi kutimuliwa. Na usitaje mashabiki tafadhali, club haiwezi control hisia zao.