sielewi data zako unatolea wapi mkuu, mourinho alikuwa failure na ni mmojawapo wa makocha waliofeli pale bernabeu ndo maana mkataba wake ukasitishwa
Halafu dogo Sterling anazidi kuwaumiza vichwa kiwango chenyewe cha kawaida
Yule siyo striker bali mkimbia mbio
Makocha huwa wanakaa misimu 3 kwenye utawala wa Perez,haijalishi umechukua makombe au la.Mchawi wa Real Madrid kwa sasa ni Perez,ngoja tuone Benitez atakaa misimu mingapi
Ni philosophy ya mdrid , binafsi siipendi... hii philosophy wange adopt timu kama chelsea na man city ambazo ni up coming. timu yeye historia kama madrid, man u, juve, milan, munich, barca n,k me naona lazima ziwe na msingi mzuri na waweze kuvumilia.. barca kwa mfano wamekuwa wazuri sana na makocha wao hawatoki mbali na hii ndo maana ya football na injaleta ladha flan ya mpira. Ila kwa upande mwingine competition inalazimisha watafte mchawi nani na kama unavojua huwez kufukuza kikosi kizima, simply unaamua kufukuza kcha sababu its cheap and easy.
Huu ni upotoshaji brother, hebu tutajie Coach yoyote aliyefukuzwa na Perez baada ya kubeba kombe lolote.Makocha huwa wanakaa misimu 3 kwenye utawala wa Perez,haijalishi umechukua makombe au la.Mchawi wa Real Madrid kwa sasa ni Perez,ngoja tuone Benitez atakaa misimu mingapi
Ndio maana kuna clubs zaidi ya 1,000,000,000 ulimwenguni kote bro, chagua unayoipenda.Ni philosophy ya mdrid , binafsi siipendi...
Madrid pale ukikoaa tu kombe basi unatimuliwa, chakushangaza bado makocha wanapapenda sana
Huu ni upotoshaji brother, hebu tutajie Coach yoyote aliyefukuzwa na Perez baada ya kubeba kombe lolote.
Na pili utuambie kama ni Perez aliyewafukuza Jupp Heynckes na Capello.
Nadhani kila mtu anafahamu hilo brother, nilichokuwa naomba ni uniambie(kutokana na maelezo yako ya mwanzo) ni coach yoyote aliyeshinda tají lolote ndani ya msimu na bado akatimuliwa, chini ya uongozi wa Perez.Carlo Anceloti,Vicente Del Bosque hawa ndio makocha wa mwisho kuwapa Real Madrid ubingwa wa Champions Perez akawatimua
Nadhani kila mtu anafahamu hilo brother, nilichokuwa naomba ni uniambie(kutokana na maelezo yako ya mwanzo) ni coach yoyote aliyeshinda tají lolote ndani ya msimu na bado akatimuliwa, chini ya uongozi wa Perez.
Nimesema kwenye utawala wa Perez makocha kufundisha ni mwisho misimu 3,haijalishi umechukua ubingwa au la
duh club za nin hizo?Ndio maana kuna clubs zaidi ya 1,000,000,000 ulimwenguni kote bro, chagua unayoipenda.
Ok brother, labda ni lugha ndio hatuelewani hapa. Labda nijaribu hivi, ni utaratibu wa Real Madrid na sio Perez, kwa Coaches kushinda tají kila msimu ili kuwa na chances za kubaki. Ndio maana nataka ututajie nani alishinda tají gani katika msimu aliofukuzwa, chini ya utawala wa Perez.Nimesema kwenye utawala wa Perez makocha kufundisha ni mwisho misimu 3,haijalishi umechukua ubingwa au la
duh club za nin hizo?