Ok brother, labda ni lugha ndio hatuelewani hapa. Labda nijaribu hivi, ni utaratibu wa Real Madrid na sio Perez, kwa Coaches kushinda tají kila msimu ili kuwa na chances za kubaki. Ndio maana nataka ututajie nani alishinda tají gani katika msimu aliofukuzwa, chini ya utawala wa Perez.
Name any Coach who won any title but still got fired in that very season, during Perez era.