Carlo Ancelloti atimuliwa Real Madrid

Carlo Ancelloti atimuliwa Real Madrid

Ok brother, labda ni lugha ndio hatuelewani hapa. Labda nijaribu hivi, ni utaratibu wa Real Madrid na sio Perez, kwa Coaches kushinda tají kila msimu ili kuwa na chances za kubaki. Ndio maana nataka ututajie nani alishinda tají gani katika msimu aliofukuzwa, chini ya utawala wa Perez.

Name any Coach who won any title but still got fired in that very season, during Perez era.

Vicente Del Bosque
 
Vicente Del Bosque

Good. Hakuna mwingine yeyote aliyewahi kufukuzwa na Perez akiwa na taji. Usiiweke kama Perez huwa hataki coaches wazidi misimu Mi-3.

VDB lilikuwa kosa, alishakiri kitambo. Mourinho alifeli vibaya msimu wake wa mwisho kwa kutoka kapa na kupoteza amani katika club na timu. In short, Mourinho alifeli vibaya kwa ujumla katika muda wake wote Madrid.

As i mentioned earlier, kushinda taji kila msimu na Real Madrid kunamuongezea Coach chances za kubaki, kwa sababu kuna vitu vingine vinazingatiwa pia. 1997/98 Lorenzo Sanz alimmwaga Jupp Heynckes aliyeshinda UCL msimu huo, 2006/07 Ramon Caldethug alimmwaga Fabio Capello aliyeshinda La Liga msimu huo pia. So sio Perez aliyeanzisha huo utaratibu.
 
Back
Top Bottom